SPIKA WA BUNGE MHE DKT TULIA ACKSON AKUTANA NA MAKONDA
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Paul Makonda Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 2 Novemba, 2023.

Comments
Post a Comment