PACHA HATARI



.

24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba).


Comments

Popular posts from this blog