BAADHI YA BARABARA KUFUNGWA BIRTHDAY YA MUSEVENI
Barabara kadhaa zinatarajiwa kufungwa, katika mji mkuu wa Uganda Kampala leo, Ijumaa kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha miaka 79 ya kuzaliwa, kwa Rais Yoweri Museveni.
Jeshi la polisi walitoa maagizo hayo Siku ya Alhamisi, akisema tukio litakalofanyika katika uwanja wa uhuru wa Kololo, ambapo wageni wapatao 100,000 wanatarajiwa kuhudhuria.

Comments
Post a Comment