GETINI KWA CHIZI UMEFUKUZWA MARA NGAPI NA WALINZI


 Eeeh bana eeh Trending story kwa sasa ni @harmonize_tz na @kajalafrida hii ni baada ya kajala jana kuongea na waandishi wa Habari kuhusu dili mpya alilopata saivi la ubarozi wa pedi, aliongea Mengi na waandishi wa habari kama kawaida maswali juu ya mahusiano yake ya zamani yeye pamoja na harmonize,, kajala alifunguka mengi kuhusu kujua namba ya siri ya akaunti za benki za harmo, kuhusu asilimia 10 aliokua anapata Konde gang lakini sasa alijichanganya akasema harmonize ni chizi ,,hicho kitu inaonesha star huyo na Mkurugenzi wa @kondegang Mr @harmonize_tz hajapendezwa nacho na kuanza kutupa vijembe kibao kwenye insta story yake leo hii asubuhi akisema suala la gari aliompa kajala pia akimwambia kajala atafite mzee mwenzie aolewe hata mganga wa kienyeji tu ,ameongea mengi sana pia ameongea mengi sana na amesema anaendelea kulewa ,, kama wimbo wake unavosema akilewa atasema vyote.. 

Endelea kufwatilia Updates zotee kupitia website yetu ETHANMEDIA pia tuffolow mitandao yote ya kijamii @ethanmediatz 

.....

#EthanmediaUpdates.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI