BURNA BOY AUGUST 25 NEW ALBUM
Picha hii ni miongoni mwa picha katika Ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Big7 kutoka kwake @burnaboygram mkali kutoka Nigeria kwa sasa anatikisa ulimwengu mzima sio Nigeria tuu hii nyimbo kati ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album yake mpya inayoitwa #itoldthem ambayo itaachiwa August 25..
Endelea kufwatilia Updates zotee kupitia website yetu ETHANMEDIA pia tuffolow mitandao yote ya kijamii @ethanmediatz
Note the date 25 August
......
@burnaboygram@mtvbaseafrica
#ethanmediaupdates

Comments
Post a Comment