WELCOME SIMBA


 🚨 DEAL DONE: Uongozi wa Simba umefikia makubaliano kumuajiri Mikaeli Igendia raia wa Kenya 🇰🇪 kuwa Meneja wa timu na Mkuu wa Sayansi ya Michezo kwa mkataba wa miaka miwili.

.

Igendia (47) anachukua nafasi ya Patrick Rweyemamu ambaye amekuwa Mkuu wa Programu za soka la vijana

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI