USTAA UKIZIDI NI USHAMBA

 

Anachokifanya Chama anataka kukuza acount zake kupitia mashabiki wa Simba na yanga lakini kama una akili ya kutatua mambo basi kwenye hili la Chama huwezi umiza akili kwanini ??

Mchezaji kama Chama naamin katika ungozi kama anatafta team hawezi kuandika kwamba anatafta team kupitia instgrm page haya ni mambo makubwa sana 


Mashabiki wa yanga nao wameingia kwenye hili kwamba Chama anaenda kucheza yanga Arava jezi namba 6 haya mambo ukikurupuka utakuta baadae unajioa mjinga

Mashabiki wa simba pungunguzeni kulaum kwenye issue ya Chama kama ataondoka Chama aondoke watakuja wengine huwenda kudhidi yeye 

Mtu anaye dumu kwenye mpira ni SHABIKI PEKEE WENGINE WAPI TAJI HAWA VIONGOZI PIA NI WAPI TAJI 

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI