TETESI ZINAENDELA MSIMBAZI
EFOE YÁO NOVON TRANSFER UPDATES 🚨
✍🏻 Simba SC wanakaribia kufikia makubaliano na kiungo wa Togo EFOE NOVON (25) kutoka ASKO kara fc 🦁🇹🇬
✍🏻 Simba itakaribia ASKO kara kumnunua kiungo huyo wa Togo ndiye anayelengwa na Simba msimu huu.
✍🏻 Masharti kibinafsi sio suala kubwa kwa Novan alisema ndio tangu jana usiku baada ya kukutana na mwenyekiti wa Simba - sasa ni juu ya vilabu hivyo viwili.
✍🏻 Si rahisi kamwe kujadiliana na ASKO kara lakini mchezaji anavutiwa na project ya Simba mwenyewe anapush deal.

Comments
Post a Comment