TETESI KUHUSU SAKHO


 


Huenda klabu ya Simba sc ikavuta mkwanja wa USD 700,000 , Kama watafanikiwa kumuuza 🇸🇳 Pape Osman Sakho ambaye amepata offer kunako klabu ya Caen inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Ufaransa . 


Sakho amebakisha Mwaka mmoja katika Mkataba wake na Simba sc.


#sportsnewsupdates💪

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI