TETESI KUHUSU FABRICE
TETESI:
Kiungo wa zamani wa As Vita na Klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan Fabrice Ngoma raia wa DR Congo , tayari amewasili nchini Alfajiri ya leo na yupo kwenye maongezi na Uongozi wa klabu ya Simba .
Mwanzo Agent wa Fabrice alikuwa nchini tagia juzi kwenye utambulisho wa nyota mpya wa Azam Fc (Sillah) na taarifa za Awali ni kuwa Ngoma alikuwa kwenye maongezi na Klabu ya Yanga .
Stay here✅

Comments
Post a Comment