TETESI KUHUSU CHAMA


 zandani zinasema mwamba wa Lusaka clatous chota chama yupo dar huku timu yake ikikweya pipa kuelekea Uturuki chanzo makini kinadai mwamba ajapewa mkataba mpya na Alionao unaelekea ukingoni bt amewambia waajili wake kuwa wasimulahumu pindi atakapofanya maamuzi 


Yanga Sc naona wametolea macho hiii ishu na ninaona wanaweza kuweka no 6 msimu ujao acha tusubili.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI