TAARIFA (Tetesi)
TRANSFER NEWS UPDATES:
✍🏻 Djuma Shabani na Yannick Bangala wanaondoka Young Africans 🇹🇿 baada ya mabosi wa Yanga kuamua kuachana nao kwasababu ya utovu wa nidhamu.
✅ Mikataba yao inamalizika 2024 , kwasasa wapo wanamalizia sehemu ya mazungumzo ili kuachiwa huru .

Comments
Post a Comment