SIMBA WAMEFELI KWA ADEBAYOR

 


Nyota Victorien Adebayor 🇳🇪 ameshindwa kujiunga na Simba Sc 🇹🇿 kutokana na dau kubwa linalotakiwa na klabu yake.


Viongozi wa Simba walifanya jitihada za kumchukua hata kwa mkopo lakini bado kiwango cha mshahara yao ilikuwa kikwazo kwao.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI