SIMBA NA NGOMA


 ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„ | ๐…๐€๐๐‘๐ˆ๐‚๐„ ๐๐†๐Ž๐Œ๐€! ๐Ÿ”ด⤵️


โ„น️ Fabrice Ngoma si mchezaji tena wa Al Hilal SC, imethibitishwa. Kesi kutoka kwa klabu haitakuwa suala kwani FIFA tayari imetoa idhini lakini bado Hilal hawajakata tamaa.


โ„น️ Yanga SC walikuwa wa kwanza kufanya mawasiliano na wakapata fursa ya kumsajili Ngoma wiki kadhaa zilizopita kama ilivyoripotiwa. Mchezaji tayari alisema "ndio" lakini suala la marufuku kwenye TMS ya FIFA ilikuwa chanzo kulibadilisha yote.


โ„น️ Simba SC walichangamkia nafasi hiyo na kuvamia hatua hiyo papo hapo.


โ„น️ Ngoma amepewa mkataba wa miaka miwili na sasa atacheza Simba.


โ„น️ Ligi ya Mabingwa Afrika ilichangia pakubwa katika uamuzi wa Ngoma kuichezea Simba.


โ„น️ Fahamu: Ngoma atatangazwa kuwa mchezaji mpya wa Simba SC wiki hii.


โ„น️ Atakuwa sehemu ya kikosi kitakachokwenda Uturuki wiki ijayo kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.


โ„น️ Ni mpango uliokamilika na hapa: habari sahihi pekee. ๐Ÿค


Karibu Simba, Ngoma! ๐Ÿฆ 


@micky

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI