SIMBA DAY IPO SOMA HII
Baada jana kutangazwa ukarabati wa Uwanja wa Benjamini Mkapa
Wengi wamekua na hofu juu mustakabali wa Tamasha letu la Simba Day
Taarifa rasmi ni kwamba hakuna mabadiliko ya Uwanja, Simba Day yetu itafanyika pale pale nyumbani kwetu Benjamini Mkapa
Muhimu tuendelee kununua tiketi

Comments
Post a Comment