SAWADOGO ALIA NA SIMBA


 🚨 SIKU chache tu tangu apewe ‘Thank You’ na klabu ya Simba baada ya kukubaliana kuvunjiwa mkataba wa kuichezea timu hiyo, kiungo mkabaji Ismael Sawadogo ameibua mapya

.

“Bado nina mkataba wa miezi sita na Simba ambao tulikubaliana kulipana mshahara kila mwezi hadi nitakapomaliza, lakini imekuwa tofauti kwani wanakwenda kinyume na makubaliano,” alisema Sewadogo na kuongeza;

.

“Nawadai mshahara wa Juni hawajaniingizia na tayari nimeongea na Mwanasheria wa Simba, Hossea lakini jibu lake ni kwamba nitatumiwa kesho maongezi yalifanyika kabla hawajasafiri kwenda kwenye maandalizi ya msimu mpya.”� Sawadogo alisema pia amewatafuta viongozi wa juu ikiwemo kuwatumia ujumbe lakini hawajibu.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI