ONYANGO AZIDI KUWEKA UGUMU

 

ONYANGO AZIDI KUKOMAA SIMBA

.

Mastaa wa kikosi cha Simba wameitwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya vipimo vya afya vitakavyofanyika wiki ijayo, lakini taarifa mbaya ni kwamba beki Mkenya Joash Onyango amezidi kukomaa kwa kuandika barua nyingine tena akisisitiza aachwe asepe kwenda klabu nyingine.

.

Mbali na Onyango, inaelezwa pia beki mwingine wa kati Keneddy Juma amegoma kuongeza mkataba licha ya kuitwa mezani kwa madai kwamba anahitaji kupata timu ambayo itampa nafasi ya kucheza.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI