Mkali kutoka Free Nation True boy @naytrueboytz Rais wa kitaa ameachia wimbo wake mpya leo unaokwenda kwa jina la" Amkeni" utazame hapa hapa Ethanmedia kupitia YouTube yake @naytrueboytz
. 24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba).
Comments
Post a Comment