MGUNDA OUT
π¨ πππππΏπΌ πππ,πΎπΌππΏπππ ππ
Naweza kuthibitisha kwamba Klabu ya Simba inatarajia kumtangaza Kocha Mbrazil,Jose Marcelo Cardoso kuwa Kocha Msaidizi wa Roberto Oliveira 'Robertinho' akichukua nafasi ya Juma Mgunda ambaye huenda akaachwa au akapewa timu ya Wanawake ya Simba Queens.
Cardoso ndiye aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Robertinho wakati yupo Vipers SC πΊπ¬ na sasa Robertinho anataka waungane tena.

Comments
Post a Comment