MBUNGE WA JIMBO LA MBARALI AFARIKI

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson ametangaza kifo cha mbunge wa Jimbo la Mbarali(CCM) Mhe Francis Leonard Mtega Kilichotokea jana tare 01july2023 kwa ajari ya kugogwa na Power Tiller akiwa shambani kwake.

Aidha Mhe Tulia Ackoson ametoa pole kwa familia na wananchi kwa ujumla na kusema Ofisi ya bunge kwa  kushirikiana na familia inaandaa mpango wa mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa, Endelea kuwa karibu nasi

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI