KYOMBO NA SIMBA
✍🏻 Baada ya kikao cha mwisho leo Simba imeamua kumuacha nyota huyo aondoke kwenye klabu hiyo kwenye dirisha hili kubwa .
✍🏻 Kyombo ataondoka Simba SC kwa uhamisho wa kudumu au kwa mkopo kwenda klabu yoyote itakayomtaka .
✍🏻 Kyombo alikuwa kwenye target ya Singida Fountain Gate FC lakini hakuna mawasiliano yoyote kutoka Singida F.G kumtaka nyota huyo .
✍🏻 Ni Kyombo kuamua mustakabali wake atolewe kwa mkopo au mkataba wa kudumu lakini hayupo kwenye mpango wa Robertinho.
Stay Here ✅

Comments
Post a Comment