KIPA ANAYEWINDWA NA SIMBA SC
MAWINDO YA MNYAMA KWA KIPA CAMEROON π¨π²
π¨ KAMA mambo yakienda yalivyopangwa kipa wa timu ya taifa ya Cameroon π¨π² Simon Omossola (25) anaweza kusaini Simba muda wowote kuanzia sasa.
.
Omossola ni kipa wa FC Lupopo aliyetoka AS Vita na anaonekana kupigiwa chapuo na viongozi wengi wa jopo la usajili wa Simba hivyo wakiafikiana huenda akawa mbadala wa Beno Kakolanya na atakayeziba pengo la Aishi Manula anayeuguza majeraha hadi Novemba.

Comments
Post a Comment