KINACHOENDELEA KUHUSU BOCCO


 .

🚨 Inaelezwa ndani ya Simba kuna Makundi mawili ikielezwa moja linataka JOHN BOCCO 🇹🇿 abaki na hoja zao ni kwanza ni nahodha, pia amefunga mabao mengi msimu uliopita lakini pia timu lazima ibaki na wakongwe. Changamoto nyingine iliyotajwa kuwa akiondolewa Bocco ni namna ya kumpata mshambuliaji wa kariba yake ambaye ni mzawa.

.

Inadaiwa Bocco hata wenzake wakati wanafanyiwa vipimo na kuweka alama za vidole kwa ajili ya safari ya kwenda Uturuki hadi jana hakufanya vyote hivyo, jambo linaloibua maswali mengi.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI