KIBEGI CHA SIMBA KIMETREND SANA


"Hichi Kibegi kimetrendi sio tu Tanzania bali duniani kote, namimi nawahakikishia kitapewa ulinzi mpaka kinafika kileleni na kurudi tena hapa," Abdallah Mwaipaya, Mkuu wa Wilaya ya Mwanga.

 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Mh. Abdallah Mwaipaya amekabidhi Bendera ya Taifa na ya Simba pamoja na begi lenye jezi kwa mashujaa ambao watazipandisha hadi juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro tayari kwa uzinduzi rasmi Ijumaa saa moja usiku.

#EthanmediaUpdates


Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI