KENNEDY NA SIMBA

 

🚨 KENEDY JUMA UPDATES. 


Beki mahiri wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania Kenedy Juma yupo kwenye hatua za mwisho za kujiunga na Singida Fountain Gate Fc ambayo wamemuwekea donge nono ili kumalisha usajili wa Mlinzi huyo ambae mkataba wake na Simba umemalizika. 


Uongozi wa Simba ulipanga kumboreshea mkataba wake endapo angekubari kusaini lakini Kenedy msimamo wake ukiwa ni kutaka kuondoka kwenye viunga vya Msimbazi na sababu kubwa ni kutaka nafasi zaidi ya kucheza. 


Hadi sasa Singida wako kwenye hatua za mwisho na huwenda akatangazwa mda wowote kama mchezaji wao mpya hari itakayowalazimu Simba kuingia Sokoni kutafta mlinzi mwingine mzawa wa kuja kusaidiana na waliokuwepo.



Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI