hadi mda huu wanasimba luis miqsone jambo linaenda vyema kabisa huwenda akatua mzimbazi maana uhakika wa hili ni asilimia 75 hadi mdaa huu anakuja kwa mkopo
. 24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba).
Comments
Post a Comment