Karibu jiunge nasi kusoma habari kubwa za magazeti ya Tanzania leo jumatatu July 17 2023, kwa Habari za michezo na burudani tembelea website yetu ETHANMEDIA
. 24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba).
Comments
Post a Comment