DIAMOND PLATNUMZ NA ALIKIBA

 


Diamond platnumz @diamondplatnumz akicheza wimbo wa Alikiba @officialalikiba na marioo @marioo_tz "Sumu" akiwa na wasanii wengine kama @officialabdukibaa @juma_jux 

Hii inaonyesha upendo uliopo baina na wasanii hawa licha ya kua na bifu za kimitandao pia diamond platnumz amesema yeye hachukulii seriously hilo suala anapenda nyimbo zote zilizotoka ni kalii na amesema wanazinguana tu mtandaoni kuchangamsha game ya Bongo flavour mana ilipoa amesema akiwa kwenye show ya zombie @s2kizzy akiongozea kwa kusema hakumbuki mara ya mwisho ni lini show kuwa na watu wengi kama ya jana iliofanyika kidimbwi @kidimbwibeach


.......

#ethanmediaupdates. 

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI