CORAZONE AONDOKA SIMBA SC

 

🚨 CORAZONE KUTIMKIA BURUNDI 

.

Kiungo wa Simba Queens, Corazone Aquino inaelezwa yupo mbioni kutua Buja Queens ya Burundi 🇧🇮 inayojiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwezi ujao. Nyota huyo wa Harambee Starlets, timu ya taifa ya Kenya ameonekana akifanya mazoezi na timu hiyo.



Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI