SHABANI IDDI CHILUNDA ASAINI MKATABA WA MIAKA 3 KUITUMIKIA SIMBA SPORTS CLUB HADI MWAKA 2026 MUDA WOWOTE KUANZIA LEO ANAWEZA KUTANGAZWA RASMI NA SIMBA KAMA MCHEZAJI WAO HALALI.
. 24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba).
Comments
Post a Comment