CAZE NA YANGA
MZEE WA #ZACUBA (Mohammed)
Cedric kaze aachana na Yanga Kimya kimya hadi hivi sasa Kocha huyo yupo nchini kwao Burundi 🇧🇮 huku akitafuta timu ya kufundisha msimu ujao mezani kwake kuna offer kadhaa huku Singida Fountain Gate ikiwa ni moja ya timu zinazohitaji huduma yake kama kocha msaidizi

Comments
Post a Comment