BEI YA SUKARI TANZANIA KUPANDA.

 


Ongezeko la bei ya sukari limeleta gumzo kwa wafanyabiashara huku wakiacha maswali mengi kwa wadau mbalimbali  wakihoji chanzo cha kupanda bei ni nini,

Mpaka jana baadhi ya mikoa kama Arusha sukari ilikua Tsh 4000 kwa kilo moja.

#Ethanmediaupdates.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI