BAADA YA KIKAO MSHAHARA WA CHAMA KUFURU
kikao cha Chama na Simba kimekamilika tayari mchezaji ataongezewa mshahara na kufikia tsh..45,000,000 kama mshahara kwa mwezi na kesho anaondoka kuelekea UTURUKI kujiunga na timu kwa maandalizi ya msimu ujao akirejea kutoka UTURUKI atakamilisha kusaini mkataba wa miaka 2 ambao utamuweka Simba hadi mwaka 2026 kila la kheri mwamba wa Lusaka

Comments
Post a Comment