YANGA KUPONGEZWA NA MAMA SAMIA
Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano na wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza Yanga kwa hatua iliofikia, "Hongereni Yanga kwa hitimisho la mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup). Historia mliyoandika katika safari yenu ya michuano hii ni kubwa na ya heshima kwa Taifa letu. Nawatakia kheri katika mipango yenu ya siku zijazo."

Kwa msimu huu walikuwa bora na walistahili kufika walipofika.
ReplyDelete