WONLO COULIBALY ASAINI MSIMBAZI .


 

Huko Msimbazi mambo yamenoga Simba imesainisha beki wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast 🇨🇮 Wonlo Coulibaly baada ya kitasa hicho kufanya vizuri katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na timu yake kukwamia hatua ya nusu fainali ikifungwa na USM Alger ya Algeria.

.

Coulibaly pia anamudu kucheza kama beki wa pembeni wa kulia na kushoto sambamba na eneo la kiungo mkabaji

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI