THANK YOU


 HEMEDI ISMAEL SAWADOGO rasmi aachwa na SIMBA SPORTS CLUB na hii ni baada ya kushindwa kuonyesha kiwango bora alichonacho baada ya kutua ndani ya kikosi hicho cha wekundu wa msimbazi dirisha dogo la usajili. 


Maamuzi hayo ya kuachana na mchezaji huyo yamefikiwa mara baada ya uongozi wa Simba kutoridhishwa na kiwango chake na kelele nyingi kutoka kwa wanachama na mashabiki wa Simba juu ya mchezaji huyo, kwa sasa SAWADOGO amerudi kwao kwenda kutafuta maisha mengine nje ya Simba Sports Club kila la kheri kiungo SAWADOGO

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI