SIMBA YAGOMEA MSHAHARA WA COULIBALY
Klabu ya Simba ilikuwa na dhamira ya dhati na Kuipata huduma ya Mlinzi wa kati wa Klab ya Asec Mimosas raia wa Ivory Coast Souleymane Coulibaly (21),
Lakini kiasi cha mshahara wa dola 4500 kwa mwezi ambao ni sawa na MILIONI 10 za Kitanzania umeoneka kuto afikiwa na Uongozi wa klab ya Simba,
MANAGEMENT YAKE YAGOMA
Kambi ya Souleymane Coulibaly inaamini beki huyo wa kati anastahili kiwango hicho cha fedha, na kama haiwezekani basi ni bora AENDELEE kusalia katika kikosi cha ASEC MIMMOSAS wakati akisikilizia ndoto yake ya kucheza barani Ulaya,

Comments
Post a Comment