SIMBA WATAENDELEA KUTEMBEZA THANK YOU
🚨 SIMBA wiki hii zitatembea ‘Thank You’ za kutosha. Tayari wameachana na Agustine Okrah, Nelson Okwa, Victor Akpan na nimeambiwa anafuata Peter Banda na Sawadogo.
.
Kuna mjadala kuhusu hatima ya Joash Onyango ambapo baadhi wanadai apewe mkataba mfupi na wengine aachwe aende.

Comments
Post a Comment