🚨 SIMBA SPORTS UPDATE
Klabu ya Simba SC iko katika mipango ya kuwatoa baadhi ya wachezaji wake ambao hawajapata wasaha mzuri wa kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha Simba SC ili wakacheze klabu ya West Armenia 🇦🇲 ya huko Ulaya
Baadhi ya majina yaliyopendekezwa ni Habibu Kyombo, Jonas Mkude, Mohamed Mussa, Nassoro Kapama na Jimmyson Mwanuke, 🇦🇲.
Viongozi wa West Armenia 🇦🇲 wamepewa ili kuwatazama kama watawafaa mazungumzo yaanze.

Comments
Post a Comment