SIMBA NA KANOUTE 🚨🦁
Sadio Kanoute amefikia makubaliano ya kuongeza mkataba wa muda mrefu wa kuendelea kuitumikia Simba Sc.
Bado hajasaini lakini kwa upande wake hakuna shida, amewasha taa ya kijani ya kusalia unyamani.
✅ Akitoka Mapumzikoni atasaini

Comments
Post a Comment