SIMBA IMEINGIA MKATABA MPYA

 









Simba SC leo tumeingia mkataba wa ushirikiano na timu ya West Armenia Football Club. Mkataba huu wa ushirikiano unatoa fursa kwa kuuziana wachezaji, maendeleo ya ufundi, soka la vijana na maendeleo ya soka. Taarifa zaidi kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI