🚨SEY ,KESSY


 

.

Dodoma Jiji tayari imewapa mkono wa kwaheri nyota wake saba na hawatakuwa sehemu ya timu hiyo msimu ujao.

.

Walioachwa 👉 Jimmy Shoji, Rehan Kibingu, Hassan Kessy, Stephen Sey, Rahim Sheike, Fadhil Mwinyimkuu na James Gubes.

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI