SALIBOKO NA SIMBA

 

🚨 DARUWESH SALIBOKO UPDATES🇹🇿


Timu ya Simba SC Ipo kwenye Hatua za Mwisho Kuinasa Saini ya Mshambuliaji Hatari wa Timu ya KMC FC Daruwesh Saliboko 


Daruwesh ni Moja ya washambuliaji Hatari kwenye Ligi ya Tanzania, alikuwa na Msimu Bora Sana na ameisaidia Timu yake ya KMC Kutoshuka Daraja Msimu Huu


#sportsnewsupdates💪

Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI