..π¨ JUST IN: Kocha wa timu ya taifa ya Senegal Aliou Cisse amemjumuisha Kiungo mshambuliaji wa Simba, PAPE SAKHO katika kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya taifa ya Senegal πΈπ³ ‘Simba wa Terenga’ kitachocheza mechi mbili, moja ya kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya Benin π§π― na nyigine ya Kirafiki dhidi ya Brazil π§π·.
Comments
Post a Comment