ROBERTINHO ASEPA .
Taarifa kutoka ndani ya Simba zilisema jana kuwa Kocha Mkuu Roberto Oliveira ‘Robertinho’ anatarajiwa kutimkia kwao Brazil 🇧🇷 leo kwa mapumziko mafupi kabla ya kurejea mwezi ujao kuanza maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu, Ligi ya Mabingwa Afrika na CAF Super League.
.
Kocha huyo anatimka, akiwa ameshaacha ripoti yake ya msimu huu na mapendekezo ya usajili mpya wa kikosi hicho.
…………

Comments
Post a Comment