ONYANGO NA SIMBA

 

🚨 JOASH ONYANGO UPDATE. 


Baada ya tetesi za mda mrefu sasa nipo hapa kukuthibitishia kuwa beki kisiki wa Simba Joashi Onyango hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba msimu ujao baada ya makubaliano ya pande zote mbili. 


Klabu ya Simba inaendelea na maboresho ya kikosi chake kwa kuondoa baadhi ya wachezaji ambao wanaamini hawatakua na msaada kwa msimu ujao huku timu ya Usajili ikiwa busy kutafta wachezaji wakubwa ili kurejesha makombe yote Msimbazi msimu ujao.


Mda wowote Simba itawatangaza wachezaji wote ambao imeachana nao huku kukiwa na mvutano wa mchezaji mmoja ambae ni kipenzi cha viongozi na mashabiki ila kocha anahitaji aletewe mchezaji mwingine ( anasema ni machachari na sio hatari😁🙄)


#sportsnewsup


dates💪

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

PACHA HATARI