OFAA TATU ZIKO MEZANI KWA LILEPO
.
Staa Mkongomani 🇨🇩 Makabi Lilepo wa Al Hilal ya Sudan ambaye ni swahiba mkubwa wa Henock Inonga wa Simba, ameomba kibali cha kutafuta timu kwa muda atakayoichezea hata kwa mkopo kuokoa kiwango chake kutokana na hali ya machafuko nchini Sudan.
.
Majina ya klabu tatu zilizomfuata mchezaji huyo, AZAM FC, YANGA SC na SIMBA SC.

Comments
Post a Comment