MKUDE TO YA YANGA

 

MZEE WA #ZACUBA

Kiungo fundi JONAS GERALD MKUDE hatimaye leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuitumikia Yanga Africa Sports Club kwa mashahara wa milioni 5 kwa mwezi huku akihakikishiwa maslahi mengineuo nje ya uwanja.


Kiungo huyo fundi aliyeiyumikia Simba kwa miaka 13 amejiunga na Yanga akitokea Simba kama mchezaji huru aliyeachwa na Timu hiyo ya Msimbazi huku Yanga wakitarajia kumtambulisha Muda wowote kuanzia sasa.


Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI