MKUDE KUONDOKA SIMBA SC
🚨JONAS GERALD MKUDE UPDATE.
Taarifa za kuaminika ni kuwa kiungo wa klabu ya Simba, Jonas Mkude yuko kwenye hatua za mwisho kukamilisha uhamisho wake kuelekea Singida Big Star kwenye dirisha lijalo la usajili.
Singida BS inatazamwa kama sehemu sahihi kwa mujibu wa kambi ya Mchezaji huyo na tayari wameshaanza mazungumzo na Singida BS ikitajwa atasaini hapo.
Singida Big Star wanapambana sana kukamilisha dili hilo kwa wakati.
#sportsnewsappdate💪

Comments
Post a Comment