MATOLA AITWA GHANA
Kocha Mkuu wa timu za vijana, Selemani Matola amepata mualiko wa kwenda jijini Accra Ghana kushuhudia mashindano ya vijana chini ya umri wa 23 yanayofanyika nchini humo kuanzia 20 - 24, Juni 2023. Taarifa zaidi ipo kwenye App. #WenyeNchi #NguvuMoja

Comments
Post a Comment